Tuesday, 1 March 2016

MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI


Mbunge  wa  CHADEMA  jimbo  la  Kilombero  akizozana  na  askari  waliomzuia  kuingia  ndani  ya  ukumbi  na  baadae  kukamatwa  na  kupelekwa  kituo  cha  polisi.

No comments :

Post a Comment