Msafara wa Mh. Rais John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida tayari kwa kuhudhuria sherehe hizo.
Mh.Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Mh. Dk. Parseko Kone
Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Rais
Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim
Majaliwa mara baada ya kuwasili uwanjani hapo katikati ni Makamu wa
Rais Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wana CCM na wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja huo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akipokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya
CCM yanayofanyika kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mh. Nape Nnauye Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi CCM na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mh. Rais John Pombe Magufuli
na Makamu wa Rais Mh.Mama Samia Hassan Suluhu, Kushoto ni Waziri Mkuu
Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Move waliohudhuria katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida.
No comments :
Post a Comment